Pages

Categories

Search

TATIZO la utapiamlo wilaya ya Uvinza limekuwa likishika kasi kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za ulaji duni wa chakula unaotokana na kula milo michache na yenye upungufu wa viinilishe. Ili kujua kitakwimu tatizo la lishe wilayani Uvinza kuliendeshwa utafiti maalumu ambao matokeo yake hayakuwa ...

Mauaji ya wanawake mkoani Mara hususani wilayani Butiama hufanywa kwa sababu za kijinga na zisizo na ukweli za haja ya kupata samaki wengi kwa kutumia viungo vya mwanamke ambavyo hudaiwa kuvuta samaki. Wauaji hawa wengi wao ni wale wanaojishughulisha na uvuvi wakiwa na imani wanapomuua Mwanamke ...

Mkoa wa mara ni mkoa ulio katika kanda ya ziwa unaoundwa na wilaya sita ambazo ni Serengeti, Butiama, Rorya, Tarime, Bunda na Musoma mjini. Mkoa huu umebarikiwa kuwa na rasilimali mbalimbali zinazouwezesha mkoa kujipatia kipato kama vile madini, hifadhi ya wanyama, uvuvi pamoja na uwepo wa mpaka una...

Afisa Elimu Taaluma, Elisanguo Mshiu anasema kuwa shule za Sekondari za kata ni mkombozi katika kuinua elimu Mkoa wa Mara ingawaje kuna changamoto mbalimbali zinazozikabili shule hizo ikiwa ni pamoja na  kutokuwa na ufaulu mzuri tangu shule hizo zilipoanzishwa mwaka 2005/2006. Anasema katika mt...

Uvuvi katika Ziwa Victoria, umekuwa ukihusisha kambi nyingi za wavuvi zilizosheheni idadi kubwa ya wavuvi wenye umri mkubwa na mdogo wanaokadiriwa kufikia 182,741 huku kukiwa  na vyombo vya uvuvi vinavyokadiriwa kufikia 28,470 (hii ni kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uv...

MLIMA Mtiro uliopo kijiji cha Busekela chache kutoka Musoma mjini ni mlima wenye  hifadhi ya maajabu ya vyungu.Maajabu haya ni sehemu ya ibada zinazofanywa na watu wa ukoo Ambarwigi. Ibada hizo za matambiko ambazo hufanywa na ukoo huo wa Ambarwigi pekee huusisha kazi ya kukabili ukame , ama ugo...

Page 1 of 512345